Simba watambulisha chuma kingine kipya

 Simba watambulisha chuma kingine kipya 

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo Hussein Semfuko kutoka klabu ya Coastal Union

Semfuko anatua Simba baada ya kung'ara katika kikosi cha Coastal Union msimu uliomalizika

Ni usajili mwingine wa kimkakati uliofanywa na Simba katika kuimarisha safu ya kiungo

Semfuko anaungana na wachezaji kama Yusuph Kagoma na Alassane Kante kuimarisha safu ya kiungo

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post