Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Klabu ya Yanga haitashiriki michuano maalum ya pre-season itakayohusisha timu nne mabingwa wa nchi zao
Klabu ya African Stars, mabingwa wa Namibia ambao ni wenyeji wa michuano hiyo, wamethibitisha, Yanga imejiondoa na nafasi yao imechukulia na AS Maniema Union ya DR Congo
"African Stars FC tungependa kuwajulisha mashabiki wetu na wadau kwamba timu ya Young Africans FC kutoka Tanzania imejiondoa kwenye Mashindano ya Kabla ya Msimu yatakayofanyika Windhoek kuanzia tarehe 22 hadi 24 Agosti 2025"
"Tunayo furaha kuwakaribisha AS Maniema Union kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kama mbadala wao. Jiungeni nasi kuwakaribisha kwa upendo wa Namibia na kuiunga mkono soka safi," ilisomeka taarifa ya African Stars
Ratiba inatajwa kuwa changamoto kwa Wananchi kushiriki michuano hiyo ambayo itazihusisha timu za African Stars, Petro Atletico na Lioli ya Lesotho
August 15 Yanga itakuwa Rwanda kuchuana na Rayon Sports katika mchezo maalum Rayon Sports Day
Baada ya mchezo huo Yanga itaendelea na ratiba yake ya pre-season
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment