Yanga nao hawapoi wamtambulisha Andy Boyeli
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Ni rasmi Yanga imetambulisha usajili wa mshambuliaji Andy Boyeli raia wa DR Congo aliyekuwa akiitumikia klabu ya Sekhukhune ya Afrika Kusini
Kocha Mpya wa Yanga Romain Folz ndiye aliyependekeza usajili wa mshambuliaji huyo ambaye msimu uliopita aliifunga Sekhukhune mabao saba ligi kuu ya Afrika Kusini
Msimu wa 2022/23 Boyeli aliitumikia Power Dynamos ya Zambia ambapo alitwaa kiatu cha mfungaji bora baada ya kufunga mabao 18 huku akitwaa tuzo ya MVP
Boyeli ndiye mrithi wa Kennedy Musonda aliyetimkia Israel baada ya mkataba wake kumalizika
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment