Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa beki wa kati Rushine De Reuck kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns
Rushine anajiunga na Simba kwa ushawishi wa kocha Fadlu Davids ambapo inaelezwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja
Alikuwa akiitumikia Maccabi Petah Tikva ya Israel kwa mkopo wa msimu mzima
Rushine anatua Simba kuchukua nafasi ya Che Malone Fondoh ambaye anaelekea kujiunga na USM Alger
Usikose kuitazama mechi ya YANGA VS SAFARI LAGER CUP LIVE bure kupitia simu yako download App yetu kutazama mechi hii bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza Hapa kudownload App yetu bure kumbuka kuidownload kama Apk maana bado haijawekwa playstore
.jpeg)
Post a Comment