Kiungo mshambuliaji Denis Nkane ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga
Nkane ameongeza mkataba huo baada ya mkataba wake wa awali wa miaka mitatu kumalizika
Chini ya kocha mpya Romain Folz Nkane atakuwa na nafasi ya kumshawishi Mfaransa huyo kumtumia katika kikosi chake
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ameendelea kuwa na imani na 'wonder kid' huyo ambaye alitua Yanga misimu mitatu iliyopita akiwa na miaka 18
Katika kikosi cha Yanga, Nkane amekuwa akitumika kama winga na wakati mwingine beki wa kulia
Usikose kuitazama mechi ya YANGA VS SAFARI LAGER CUP LIVE bure kupitia simu yako download App yetu kutazama mechi hii bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza Hapa kudownload App yetu bure kumbuka kuidownload kama Apk maana bado haijawekwa playstore
.jpeg)
Post a Comment