Simba wana Jambo lao tarehe 29.07.2025


 Julai 29, 2025 hii ni siku ya kulitikisa jiji la Dar es salaam, Mnyama atakuwa na jambo lake

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amewataka mashabiki na wanachama wa Simba wakae tayari

Jana katika kurasa rasmi za Simba kwenye mitandao ya kijamii, chapisho lenye jezi tatu zikiwa na namba 29, 7 na 25 lilipandishwa katika kurasa hizo

Ahmed amesema chapisho hilo limebeba tarehe ya tukio hilo litakalofanyika siku ya Jumanne

Usikose kuitazama mechi ya YANGA VS SAFARI LAGER CUP LIVE bure kupitia simu yako download App yetu kutazama mechi hii bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza Hapa kudownload App yetu bure kumbuka kuidownload kama Apk maana bado haijawekwa playstore

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post