Simba waendelea kuibomoa Mamelodi huyu hapa mwingine


 Baada ya kukamilisha usajili wa beki wa kati Rushine De Reuck kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns, klabu ya Simba inaelezwa imemsajili kiungo mshambuliaji Neo Maema kutoka klabu hiyo usikose kuitazama mechi ya Yanga vs Safari lager cup bure Bonyeza hapa kudownload App yenye chanel zote za Azam tv na Dstv bure yaani unaangalia bure

Maena anatarajiwa kujiunga na Simba kwa mkataba wa mkopo wa msima mzima huku Simba ikiwa nafasi ya kumsajili moja kwa moja baada ya mkopo wake kumalizika

Kocha Fadlu Davids yuko mitamboni kukisuka kikosi chake kwa kuzingatia mipango yake kuelekea msimu ujao

Simba inafunga wiki hii kwa sajili za maana kabla ya kuelekea pre-season huko Misri

Usikose kuitazama mechi ya YANGA VS SAFARI LAGER CUP LIVE bure kupitia simu yako download App yetu kutazama mechi hii bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza Hapa kudownload App yetu bure kumbuka kuidownload kama Apk maana bado haijawekwa playstore

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post