Simba wabisha hodi Coastal Union wakimtaka Miraji


 Klabu ya Simba iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa beki wa kushoto wa Coastal Union, Miraji Abdallah, imefahamika

Miraji anatua Msimbazi kuziba nafasi iliyoachwa na Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' ambaye ameachwa baada ya mkataba wake kumalizika

Kiwango kizuri alichoonyesha Miraji msimu uliopita kimempa nafasi ya kujumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachoshiriki michuano ya CHAN 2024

Kama kila kitu kitakwenda sawa, huenda Simba ikakamilisha mchakato wa kumsajili beki huyo leo

Simba tayari ina makubaliano binafsi baina yake na mchezaji huyo

Usikose kuitazama mechi ya YANGA VS SAFARI LAGER CUP LIVE bure kupitia simu yako download App yetu kutazama mechi hii bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza Hapa kudownload App yetu bure kumbuka kuidownload kama Apk maana bado haijawekwa playstore

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post