Simba ina Jambo lake leo ni kuhusu BETWAY

Simba ina Jambo lake leo ni kuhusu BETWAY

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Klabu ya Simba leo inatarajiwa kusaini mkataba wa udhamini na kampuni ya ubashiri BETWAY ya Uingereza

Simba inakuwa klabu ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kudhaminiwa na kampuni hiyo kubwa kutoka Uingereza

Betway inadhamini klabu kubwa duniani kama West Ham United ya Uingereza wakiwa wadhamini wakuu, pia inashirikiana na klabu nyingine kama Atletico Madrid, Brighton, Arsenal, Chelsea, Tottenham, Eintracht Frankfurt, Schalke 04, Amazulu, Kaizer Chiefs na nyingine nyingi

Tukio la kusaini mkataba litafanyika kunzia saa 4 asubuhi, Johari Rotana Hotel jijini Dar es salaam

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post