RASMI: Che Malone Fondoh atambulishwa Usm Alger

RASMI: Che Malone Fondoh atambulishwa Usm Alger

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha


 Klabu ya USM Alger imethibitisha kumsajili aliyekuwa beki wa Simba Che Malone Fondoh raia wa Cameroon

Che Malone ameondoka Simba baada ya kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili

Wakati Che Malone akitua USM Alger, Simba tayari imeshusha mbadala wake, Rushine De Reuck beki kisiki kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns

Rushine tayari yuko jijini Dar es salaam akisubiri utambulisho rasmi kabla ya kuanza majukumu ya kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi

Safu ya ulinzi ya Simba msimu ujao sasa itaongozwa na Rushine, Abdulrazak Hamza na Carabou Chamou

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post