Nimeshindwa kabisa kumsahau mwanaume wangu wa kwanza


Jina langu Maria, mkazi wa Kinondoni, nilianza kujihusisha na mapenzi nikiwa na umri wa miaka 20 na Boyfriend wangu wa kwanza anaitwa Baraka japo mimi nilimuita jina la Mwalimu kwa sababu yeye ndo aliyenifundisha kila kitu kuhusu mapenzi.

Siku yangu ya kwanza kujihusisha na tendo la ndoa niliumia sana hadi nilipotoka pale nikamchukia Mwalimu na kaapa sitokuja kulala na Mwanaume tena kutokana na uchungu niliopata pale Mwalimu alipokuwa kifuani mwangu. Soma zaidi. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post