Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeandika ushuhuda kama huu. Kwa zaidi ya miezi kumi na mbili, nilipitia kipindi kigumu mno mwili wangu ulikuwa kama wa mzee, huku akili yangu ikihangaika kila siku na swali moja: “Kwa nini siwezi kuona siku zangu tena?”
Ilianza taratibu. Mwezi wa kwanza, nilidhani ni kawaida tu labda mabadiliko ya homoni au msongo wa kazi. Mwezi wa pili nikawa na wasiwasi. Nilipoenda hospitali, vipimo vilisema sina tatizo lolote. Daktari akanihakikishia ni hali ya kupita. Lakini miezi ikazidi kusonga, hali ikawa ile ile. Siku zangu za mwezi zilipotea kabisa. Soma zaidi hapa.
Post a Comment