Mume Wangu Alianza Kukataa Kurudi Nyumbani Tiba ya Pete ya Mapenzi Ilirejesha Furaha Yetu

 


Nilianza kuona mabadiliko kwa mume wangu baada ya miaka minne ya ndoa. Kwanza alikuwa mtu wa furaha, mwenye bidii ya kutunza familia, na kila siku alihakikisha anarudi nyumbani mapema. Tulikuwa marafiki wakubwa, tulicheka pamoja, tulisali pamoja, na tuliota maisha ya baadaye kama watu wawili waliounganishwa na upendo wa kweli.

Lakini ghafla, alianza kubadilika. Aliongea kwa ukatili, alianza kulala sebuleni au kurudi usiku wa manane bila sababu. Kila nilipomuuliza tatizo ni nini, alinijibu kwa hasira au alininyamazia. Nilijua ndoa haikosi misukosuko, lakini hili halikuwa la kawaida. Nilianza kuhisi kama siye yule mtu niliyeolewa naye. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post