Kila usiku saa nane au saa tisa, nilikuwa naamshwa na sauti isiyo ya kawaida sauti laini ya kiume ikisema kwa sauti ya chini kama maelekezo au maneno ya maombi. Nilipoamka kikamilifu, sikumuona mtu yeyote. Kwanza nilifikiri ni ndoto au labda kelele za barabarani. Lakini kilichonitatiza ni kwamba jambo hili lilirudia kila usiku kwa miezi zaidi ya mitatu.
Nilianza kukosa usingizi. Asubuhi nilikuwa mchovu, sikuwa na nguvu kazini, na hata hamu ya kula ikapotea. Nilipoanza kujaribu kumweleza mtu, waliniona kama nina msongo wa mawazo. Mwingine alidai ni stress ya maisha, lakini moyoni nilijua kuna jambo kubwa zaidi. Usiku mmoja nilihisi kama vile mikono yangu inasaini kitu kwenye hewa lakini sikumbuki nilikuwa nafanya nini haswa. Soma zaidi hapa.
Post a Comment