Nilianza kuhisi uchovu usioelezeka miaka minne iliyopita. Nilikuwa najikuta nikikohoa mara kwa mara, kiu ya kupindukia, na mara nyingine naenda haja ndogo kila dakika chache. Nilipoenda hospitali, niligundulika nina kisukari. Kwa wakati huo, sikutambua jinsi ugonjwa huo ungebadilisha maisha yangu kabisa.
Nilianza kutumia dawa nilizopewa hospitalini metformin na zingine. Kila mwezi nilirejea kwa daktari kwa vipimo na kuongeza dozi. Badala ya kuimarika, hali yangu ilizidi kudhoofika. Miguu yangu ilianza kufa ganzi, macho yakawa hafifu, na mara kwa mara nilikuwa na maumivu ya kichwa yasiyoisha. Sikuwahi kuwa sawa. Soma zaidi hapa.
Post a Comment