Kila Mwezi Siku ya 13 Nilikuwa Napoteza Pesa Mpaka Niligundua Kalenda Yangu Ilikuwa Imelogwa

 


Siku zote nilijiona mtu wa kupanga vizuri nina biashara ya vifaa vya ujenzi, nilikuwa na mzunguko mzuri wa wateja, na kila mwezi nilikuwa nikiweka akiba ya maana. Lakini kuna jambo moja ambalo lilinishangaza na kuniumiza kiakili: kila mwezi tarehe 13, lazima nitapoteza pesa nyingi au kupata hasara ya ghafla.

Mara ilikuwa ni mteja kukimbia na mzigo bila kulipa, mara gari la mzigo kupata ajali, mara mtandao wa benki kugoma na hela zangu kupotea. Ilifika mahali nikaanza kugundua “bahati mbaya” hizi hazikuwa za kawaida. Nilipoangalia taarifa zangu za kibenki na kumbukumbu za uhasibu, karibu kila tukio baya lilitokea tarehe 13. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post