Nilipigwa Character Development, Lakini Maombi Maalum Yalinipa Mpenzi wa Kudumu


 Kuna wakati katika maisha yangu nilihisi kama mapenzi yalikuwa laana tu juu yangu. Kila mara nikipenda, nateseka. Nikiwa chuoni nilikuwa na mpenzi ambaye nilimchukulia kama mchumba wangu wa baadaye. Nilimheshimu, nilimpenda, na nilimjengea ndoto za maisha mazuri pamoja.

Lakini baada ya miaka miwili ya mahusiano ya dhati, siku moja alipokea kazi nje ya jiji. Nilimpa baraka zangu zote. Ndani ya wiki mbili alinitumia ujumbe mfupi tu: “Nadhani huu ndio wakati wa kila mtu aendelee na maisha yake.” 

Nilifunga macho, nikavua pete niliyojizoea kuvaa, nikajua safari yetu imefika mwisho mara moja, bila huruma, bila hata majadiliano. Nililia. Nilihisi kutotosha. Character development hiyo iliniuma kuliko mitihani yoyote niliyowahi kufanya chuoni.

Na kama haitoshi, mwezi mmoja baadaye niliona picha zake akiwa na mwanaume mwingine kwenye Instagram, wakiwa kwenye hoteli ya kifahari. Caption ilikuwa: “With my peace 🕊️❤️.”

Nilijiambia sitapenda tena. Nilianza kuwa mtu wa hasira, niliwachukia wanaume wote. Hata wale walionitakia mema, nilikuwa nawahisi kama wana nia ya kuniumiza pia. Nilikuwa mtu wa kufanya kazi, kurudi nyumbani, na kulia kitandani usiku. Moyo wangu ulikufa. Soma zaidi hapa.  



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post