Naishi katika mtaa wa Sanawari jijini Arusha, hapo awali nilikua naishi pamoja na familia yangu kule Rombo kwa kuwa nilikuwa nafanya kazi kule, niliweza kupata uhamisho wa kufanya kazi Arusha.
Kwa kuwa sikuwa na fedha za kutosha niliamua kuiacha familia yangu huko mashambani na kwenda sehemu yangu ya kazi, mara kwa mara nilipopata nafasi niliwatembelea na kuwajulia hali na kurudi mjini baada ya siku mbili au tatu hivi.
Kando na hayo mara kwa mara niliweza kumpigia mke wangu simu na kuzungumza naye kwa kuwa nilimpenda sana na nilitamani kuwa karibu naye mara kwa mara ila shughuli za kikazi hazikuniruhusu.
Kwa upande mwingine mke wangu naye mara kwa mara alinitumia ujumbe wa mapenzi kwenye simu yangu na kunieleza jinsi anavyonipenda sana.
Kwa upande mwingine mke wangu naye mara kwa mara alinitumia ujumbe wa mapenzi kwenye simu yangu na kunieleza jinsi anavyonipenda sana. Soma zaidi hapa.


Post a Comment