Kwa majina naitwa Salma Naumu, natokea Tanga, ni mwanamke wa miaka 25, ni single mama wa mtoto mmoja, nilikaa mwaka mmoja baada ya kuachana na mzazi mwenzangu ndio nikaanzisha mahusiano na kaka mmoja.
Kaka huyo ni mtu wa Zanzibar, kwenye mahusiano yetu alikuwa ananijali sana mimi pamoja na mtoto wangu, kwa hilo simsemi vibaya ila shida aliyokuwa nayo ni mtu anayesusa sana.
Yaani hadi anabore kitu kidogo kasusa na akisusa hakutafuti tena hadi wewe umtafute sasa na mimi ikafika wakati nikachoka kukaa nabembeleza mtu, tena mtu mzima ambaye anajielewa kabisa.
Mfano kuna siku kunasehem tulipanga kupeleka mtoto kwaajili ya matibabu huwa anatabia ya kubeba hand bag yangu sasa siku hiyo hakufanya hivyo.
Yeye akawa anatembea hatua ishilini mbele yetu jioni namuuliza kulikoni maana sio kawaida yako amesusa tangia hio siku hakunitafuta na mimi sikumtafuta hadi leo, bali nilichofanya ni kwenda kwa Kiwanga Doctors kwa ambavyo nilishauriwa na rafiki yangu. Soma zaidi hapa.


Post a Comment