Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya kikosi cha Safari Lager talents katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa KMC Cmplex
Baadhi ya nyota nyota wa kikosi cha kwanza kama Salum Abubakar 'Sure Boy', Farid Mussa, Kibwana Shomari, Denis Nkane na Nickson Kibabage walishiriki mchezo huo ambao pia uliwajumuisha nyota wengine wa kikosi cha U20
Usikose kuitazama mechi ya LIVERPOOL VS YOKOHAMA live bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza hapa kudownload
Au

Post a Comment