Beki wa kulia wa Yanga Israel Mwenda amesaini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa soka Tanzania Bara, imefahamika
Awali Mwenda alikuwa akiitumikia Yanga kwa mkopo ambao umemalizika mwishoni mwa msimu uliopita
Hatimaye Yanga imemsajili moja kwa moja kwa kumpa mkataba wa miaka mitatu
Kazi nzuri aliyofanya ndani ya muda mfupi, imewashawishi mabosi wa Yanga kumpa mkataba wa muda mrefu
Sasa ataendelea kusaidiana na Kibwana Shomari upande wa kulia wakati Yao Kouassi akiendelea kuimarika
Usikose kuitazama mechi ya LIVERPOOL VS YOKOHAMA live bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza hapa kudownload
Au
.jpeg)
Post a Comment