Matokeo Tanzania vs Senegal leo Mashindano ya Cecafa
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kbonyeza HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Timu ya Taifa ya Tanzania imekamilisha mechi zake mbili za kujiandaa na michuano ya CHAN 2024 leo ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Senegal katika mchezo uliopigwa uwanja wa Black Rhino, Karatu
Senegal ilitangulia kufunga bao lake mapema lakini Stars ikasawazisha na kuongeza bao la pili katika kipindi cha pili kupitia kwa mabao ya Abdul Sopu na Ibrahim Hamad Bacca aliyefunga bao laa ushindi
Bacca ameendeleza rekodi ya kupachika mabao aliyoanza katika ligi kuu ya NBC msimu uliopita na sasa ameihamishia katika timu ya Taifa
Katika mchezo wa kwanza dhidi ya Uganda, Stars iliibuka na ushindi wa bao 1-0
Vijana wa Stars sasa wako tayari kwa michuano ya CHAN ambao itaanza kutimua vumbi August 02
Usikose kuzitazama mechi hizi leo ARSENAL vs NEW CASTLE, TANZANIA vs SENEGAL na BARCELONA vs VISSEL KOBE LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment