Kwa sasa kwa vijana wengi moja ya njia ambazo zinaonekana kuwa nyepesi kufanikiwa kimaisha ni kubashiri michezo (bet), unapoweka fedha kidogo unaweza kuona utashinda fedha nyingi endapo timu ulizochagua zitashinda kama ulivyobashiri.
Hata hivyo, watu wengi hasa vijana hujikuta katika maisha ya kubet kwa miaka mingi bila kufanikiwa kupata fedha yoyote zaidi ya fedha zao kuzinufaisha kampuni za bet na mawakala wao. Soma zaidi hapa.
Post a Comment