Kulala usiku kwangu ilikuwa ni adhabu. Kwa zaidi ya mwaka mmoja, kila nilipofunga macho, nilikuwa naota ndoto za ajabu na za kutisha. Wakati mwingine naota nipo kaburini, wakati mwingine naona nyoka wakinizunguka, au nipo kwenye giza nene na mtu ananifukuza.
Nilikuwa nikiamka usiku nikiwa natetemeka, jasho likinitoka mwili mzima, na moyo kunidunda kwa kasi ya ajabu. Kila siku nilikuwa mchovu, mwenye hofu, na nisiyeweza kufanya kazi vizuri mchana kwa sababu usingizi haukuwa sehemu ya maisha yangu tena. Soma zaidi hapa.
Post a Comment