Ni wengi wamepata kazi muda mfupi tu baada ya kumaliza masomo

 

Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba unashangaa nini hiki kimenitendekea.

Ndivyo ilivyokuwa kwangu wakati natafuta kazi ya ndoto zangu ambayo nimeisomea hadi Chuo Kikuu. Jina langu Zurimami, nimesomea taaluma ya Rasilimalia Watu (HR), ilikuwa ndoto yangu kufanya hivyo.

Baada ya kumaliza Chuo tu hivi nilishauriwa na baadhi ya watu kuwa nitafute moja ya Ofisi mjini niombe kazi niwe najitolea bila malipo ili kupata uzoefu maana waajiri wengi hupenda kuajiri wafanyakazi wenye uzoefu. Soma zaidi hapa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post