Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia kwa miezi sita mwamuzi Heri Sasii kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa May 28 katika uwanja wa KMC Complex
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Kamati hiyo, Sasii amekumbana na adhabu hiyo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri vema sheria 17 za mpira wa miguu
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.
Katika mchezo huo Simba ilishinda bao 1-0 lakini kulikuwa na matukio matatu ya dhahiri ambayo Sasii alipaswa kuizawadia Singida BS mikwaju ya penati lakini hakufanya hivyo
Baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau, hatimaye Kamati imeanza kuwafungia waamuzi ambao hawachezeshi kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu
Hata hivyo unaweza kusema adhabu hizi zimechelewa kwani kuna timu zimenufaika sana na makosa ya waamuzi
Kama adhabu zingetolewa mapema pengine kuna waamuzi wangefungiwa na wasingepata nafasi ya kuendelea kuzinufaisha timu hizo
Usikose kuitazama mechi hii ya AFRIKA KUSINI vs TANZANIA LIVE bure kupitia simu yako download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment