Taarifa Mpya kutoka Simba ni kuhusu goli kipa Aishi Manula

 

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amethibisha kuwa mlinda lango Aishi Manula ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inaelekea ukingoni

Hata hivyo amesema hatma ya golikipa huyo iko mikononi mwa benchi la ufundi kama watahitaji kuwa nae au la

"Mkataba wa Manula unamalizika mwisho wa msimu lakini wenye jukumu la kuamua nani abaki na nani aondoke ni benchi la ufundi"

"Pamoja na kuwa Manula hakupata nafasi msimu huu lakini hilo halimuondolei sifa yake ya kuwa golikipa bora ambaye timu nyingi zinapenda kuwa nae"

"Hatma yake itaamuliwa na benchi la ufundi na viongozi, kile kitakachoamuliwa tutawajuza wanachama na mashabiki wetu," alisema Ahmed

Kuna taarifa kuwa Manula yuko mbioni kurejea kwa waajiri wake wa zamani Azam Fc, ambapo anasubiri mkataba wake ufike tamati mwishoni mwa mwezi huu

Msimu huu umekuwa mgumu kwa Manula kwani hakupata nafasi ya kucheza mechi yoyote ya mashindano

Shida ilianza baada ya mchezo dhidi ya Yanga msimu uliopita akikaa langoni na kuruhusu mabao matano katika mchezo ambao ulipelekea uongozi wa Simba umsimamishe kuchunguza tuhuma za 'hujuma'

Usikose kuitazama mechi hii ya AFRIKA KUSINI vs TANZANIA LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post