Yanga Hawapoi hii hapa mipango yao kuelekea jambo hili

 

Baada ya kukata tiketi mapema ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema dhamira ya klabu ni kufanya vyema zaidi katika michuano hiyo msimu ujao

Ikiwa inaongoza ligi kuu ya NBC ikiwa na alama 73, Yanga imejihakikishia tiketi ya kushiriki michuano hiyo ambayo msimu huu waliondoshwa katika hatua ya makundi

Kamwe amesema yapo mambo ambayo wamejifunza katika ushiriki wao kwenye mashindano ya CAF katika misimu mitatu iliyopita na sasa wanaweka malengo ya kupiga hatua kubwa zaidi katika michuano hiyo

"Tumekata tiketi ya kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao tukiwa na mechi tano mkononi. Maana yake ni kuwa msimu huu tumekata tiketi mapema kuliko msimu ya nyuma"

"Lakini msimu ujao tutakwenda katika michuano hiyo tukiwa na kumbukumbu isiyopendeza ya msimu huu. Kwa namna klabu yetu ilivyoshindana katika kipindi cha misimu hii mitatu, unaweza kusema kuishia hatua ya makundi ni mafanikio pia lakini tayari klabu hii tumeshafanya mambo mengi makubwa ambayo sasa yanatusukuma kwenda zaidi ya malengo ya kawaida ambayo klabu ilikuwa nayo"

"Tumecheza fainali ya kombe la Shirikisho na tumecheza robo fainali ya ligi ya mabingwa maana yake tunatakiwa kuweka malengo ya kufanya vizuri zaidi ya hapo. Naamini kuelekea msimu ujao kila mshabiki na mwanachama wa klabu hii anatamani kuona klabu yake ikirudi katika zile nafasi za robo fainali, nusu fainali na ikiwezekana tucheze hata hatua ya fainali"

"Inawezekana klabu kama Pyramids imeweza kutufundisha msimu huu kuwa hauhitaji uzoefu wa kucheza mara nyingi katika michuano hiyo ili kuchukua ubingwa," alisema Kamwe

Usikose kuitazama mechi hii ya AFRIKA KUSINI vs TANZANIA LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post