Namna unavyoweza kupambana na wenye hila katika eneo lako la kazi

 


Jina langu ni Jumanne kutokea Kigoma, mwaka 2017 nilipata kazi katika kampuni mmoja ya kimaaifa ya kuuza vinywaji baridi, kwa hakika kazi hii ilikuwa ni nzuri na yenye mashahara mzuri ajabu.

Nilikuwa najisemea kimoyo moyo kuwa endapo nitafanya kazi hii kwa miaka miwili tu, basi nitaweza kujenga nyumba hata mbili, kununua gari na mambo mengine makubwa ya kimaendeleo.

Hata hivyo, miezi saba tu katika ajira ile, mambo yalianza kubadiika, kuna wafanyakazi wenzangu ambao walikuwa ni rafiki zangu, walianza kunipiga vita ya chini kwa chini. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post