Niliamka usiku wa manane kwa simu ya jirani aliyekuwa akipiga kwa pupa. Sauti yake ilitetemeka, “Duka lako linaungua!” Niliporuka kutoka kitandani na kukimbia hadi pale mtaani nilipopaki biashara yangu ya ndoto, nilikuta moto mkubwa ukiwaka bila huruma. Hakukuwa na miale ya umeme karibu, wala gesi, wala kitu chochote kilichoashiria sababu ya moto huo wa kushangaza.
Duka langu lilikuwa la vifaa vya ujenzi, nikiwa naliendesha kwa zaidi ya miaka minne bila matatizo. Siku hiyo kila kitu kiliteketea hata mafaili ya stoo, risiti, na stakabadhi zote zilitoweka.
Nilikaa kwenye barabara nikitazama moshi ukipaa usiku huo, nikilia kwa kimya. Kilichonisumbua zaidi ni kuwa hii ilikuwa ni mara ya pili tukio la kutatanisha kutokea miezi miwili kabla, gari yangu ya mizigo ilikuwa imeharibika kwa namna ile ile isiyoelezeka. Soma zaidi hapa.
Post a Comment