MWANAMKE APONA KISUKARI KABISA HUKO DODOMA KWA TIBA ZA ASILI

 


Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 48, mkazi wa eneo la Chamwino jijini Dodoma, amewashangaza wengi baada ya kupona kabisa ugonjwa wa kisukari ambao alikuwa akiugua kwa zaidi ya miaka saba.

Kwa mujibu wa maelezo yake, alikuwa akitegemea insulin kila siku, hali iliyomsababishia mzigo mkubwa kifamilia na kiuchumi. Alikuwa amefikia hatua ya kukata tamaa, hasa baada ya majaribio ya matibabu ya kisasa kushindwa kudhibiti hali yake ipasavyo. SOMA ZAIDI HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post