Kwa Nini Kila Mtu Ana Mistari Tofauti ya Mkono? Siri ya Kipekee Inayofichwa na Kiganja

 


Wengi wetu tumewahi kuangalia viganja vyetu na kuona mistari mbalimbali inayopita katikati, pembeni, au juu ya kiganja. Lakini je, umewahi kujiuliza kwa nini hakuna watu wawili duniani wenye mistari inayofanana kabisa mikononi mwao? Je, ni bahati tu au kuna siri kubwa inayofichwa na mistari hiyo?

Kwa karne nyingi, wataalamu wa tiba za kiroho na wanafalsafa wa kale wameamini kuwa mistari ya kiganja sio tu alama za mwili bali ni ramani ya maisha ya mtu. SOMA ZAIDI HAPA 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post