Katika jamii nyingi za Kiafrika, tiba za kisasa zina nafasi yake muhimu, lakini bado asilimia kubwa ya watu huamini na hutegemea mbinu za kienyeji, hasa zile za kiroho, kwa ajili ya kurejesha afya na kutibu magonjwa ya muda mrefu au yasiyoeleweka kwa haraka.
Waganga wa jadi wamekuwa wakiheshimika kwa uwezo wao wa kipekee wa kutumia nguvu za asili na maombi katika kutibu maradhi mbalimbali, hasa yale yanayohusishwa na kiroho, mikosi, au laana. SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment