Ibada ya Jumapili katika kanisa moja mashuhuri mjini Morogoro ilisitishwa ghafla baada ya waumini kushuhudia tukio lisilo la kawaida, ambapo mchungaji wao alipatikana akiwa uchi wa mnyama juu ya madhabahu, pamoja na mke wa mzee wa kanisa, aliyekuwa pia hajavaliwa ipasavyo.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili asubuhi kabla ya ibada rasmi kuanza. Mashuhuda wanasema walihisi kitu si cha kawaida walipokuta kanisa limefungwa kwa ndani, huku gari la mchungaji likiwa tayari uwanjani. Soma zaidi hapa.
Post a Comment