Afisa wa Polisi Apatikana na Vifaa vya Ushirikina Nyumbani, Majirani Wasema Walimshuku Muda Mrefu

 


Ilikuwa kama sinema. Sikuamini macho yangu hata baada ya kushuhudia kila kitu kwa macho yangu mwenyewe. Tulimfahamu kama askari mwenye nidhamu, anayejiheshimu na mwenye misimamo ya haki.

Alikuwa akikaa karibu na nyumba yangu hapa Mwanza mtaa wa Kimanga. Tulimuita “Afande Dullah.” Lakini majira ya usiku wa manane, kila kitu kilibadilika. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post