BREAKING: FEISAL SALUM ATUA YANGA?


 Mchambuzi wa soka Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

"Jambo limeisha,wakubwa wamepita nae,kijana ameichagua Yanga na amesinya jana,msimu ujao ni assist na magoli ya kutosha…..tukutane wiki ijayo.

Mguu wake wa kulia umebarikiwa sana🖐️".

#yangasc #ligikuutanzaniabara #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi #wananchi #goal255

Ikumbukwe Feisal amekuwa akihusishwa na Klabu za Simba na Yanga huku pia waajiri wake wa Sasa wa Azam Fc wakimuwekea Dau nono

Endelea kutembelea blog hii kwa habari zaidi.

Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs DODOMA JIJI Live bure kupitia simu yako download App hii itakayokuwezesha kuitazama mechi live kwenye simu yako bure, app bado haijawekwa plsystore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP BURE

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post