Mwaka 2000 kaka yangu kipenzi alifariki duniani na kuacha watoto watatu, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Kitendo cha kaka yangu kutoka duniani kilihuzunisha familia yetu kwa ujumla hadi sasa hivi kwa sababu yeye ndo alikuwa kiongozi wa familia yetu pia alikuwa amebeba majukumu makubwa sana tangu Baba yetu na mama watoke duniani pia.
Baada ya yeye kututoka majukumu yote yariamia kwangu, majukumu ambayo ni kuhakikisha wadogo zetu wanasoma pia kuhakikisha watoto wake watatu wanapata elimu bora ili baadaye wawezi kuwa na familia bora na kujitegemea....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment