Nilikuwa nimefika mwisho. Maisha yalikuwa yamenielemea kila upande. Nilikuwa nimepoteza kazi miezi sita nyuma, biashara yangu ndogo ya kuuza vifaa vya elektroniki haikufua dafu, na madeni yalikuwa yamenizunguka kama wingu la mvua.
Wakati huo, nilikuwa nimebakiwa na shilingi elfu hamsini tu, na hata sikujua nitavitumiaje kulipa deni, kununua chakula au kusaka ajira mpya. Ndiyo maana wakati niliona mechi kadhaa za mpira zilizopangwa kwa usiku ule, moyo wangu uliniambia “wewe cheza tu, usikate tamaa.”... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment