Kuna kipindi katika maisha yangu ambapo usingizi ulikuwa adui mkubwa kwangu. Wakati watu wengine walikuwa wakingoja usiku uingie ili wapate kupumzika, mimi nilikuwa naogopa kulala.
Kila nilipoingia kitandani, nilihisi kama nimeingia kwenye mlango wa mateso. Nilikuwa naota ndoto za kutisha watu wanaonifukuza na visu, majeneza, kuzama majini, au nikiwa nimefungwa mikono na miguu bila msaada....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment