Mke wangu alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hadi duka letu likaongezeka sana japo mimi nilizidi kufanya kazi yangu ya kusafirisha maharagwe kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali hapa nchini.
Kutokana na kazi yangu hivyo nilikuwa nasafiri mara kwa mara, mwaka 2019 mdogo wangu wa kiume alihitimu kidato cha sita kisha nikaamua kumleta nyumbani ili aweze kusaidiana na mke wangu dukani...SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment