Bakari alikuwa mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi katika eneo la Nkuhungu mjini Dodoma alianzisha biashara hiyo kwa juhudi zake mwenyewe akitumia akiba aliyokusanya kwa miaka mingi alipokuwa dereva wa malori ya mizigo.
Biashara ilianza vizuri wateja walikuwa wakija kwa wingi na bidhaa zilitembea kila siku hakuwa na malalamiko makubwa isipokuwa changamoto ndogo ndogo za kawaida lakini ndani ya mwaka mmoja hali ilibadilika ghafla akaanza kuona hasara zisizoeleweka. Soma zaidi hapa.
Post a Comment