Ukweli ni kwamba katika ndoa wanawake wengi hupitia changamoto mbalimbali kutokana na tabia za wanaume wao kuwa na mapango wa kando, hilo kufanya kushindwa kuhudumia familia vizuri.
Nasema hivyo kwa sababu hilo lilishawahi kunipata maishani mwangu, mume wangu hakuijali familia yake kwa lolote lile licha ya kuwa alikuwa na kazi na anapokea mshahara kila mwezi.
Sikujua tatizo lilikuwa ni nini hasa, kila ambapo ningemuuliza ni wapi fedha zake zinakwenda, basi angekuwa mkali kiasi cha kuibuka mgomvi mkubwa ndani ya nyuma yetu. Soma zaidi hapa.
Post a Comment