Fedha zako haziwezi kuisha kwa urahisi ukifanya hili moja tu!

 


Unajua hakuna jambo linachosha na kuumiza kama kupata fedha, tena fedha nyingi lakini zinakuwa zinaisha bila kuona zimefanya kazi gani hasa, yaani fedha zinakuwa kama zinapita njia kwako tu. Inaumiza sana.

Ndivyo ilivyokuwa na kwangu pia, nilikuwa nafanya kazi na kupokea mshahara kila mwisho wa mwezi, lakini ukiangalia maisha yalivyo, hayana tofauti sana na mtu asiye na kazi!.

Hadi mwenyewe nikawa nashangaa kwanini hali hiyo, kila ambapo nilikuwa najiuliza ni wapi fedha zangu zinaenda, nilikuwa sipati jibu kabisa, hadi ikafikia hatua nikahisi nyumba ninayoishi ina majini ambayo yanachukua fedha zangu, hivyo nikaamua kuhama ila hali iliendelea kuwa ile ile. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post