Nilipofikisha miaka thelathini, nilianza kuhisi shinikizo kutoka kila upande. Marafiki zangu wa karibu walikuwa wameshaolewa, baadhi walikuwa na watoto wawili au watatu, huku mimi nikiendelea kuishi kwa mama yangu kama msichana mdogo.
Sio kwamba sikuwa napendwa, la hasha. Nilikuwa nakutana na wanaume wazuri, wanaonipenda na kuniahidi ndoa, lakini kila safari ilipofikia hatua ya kuzungumza kuhusu mahari au mipango ya harusi, mambo yaliharibika ghafla....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment