Nilizaliwa na ngozi laini na nzuri kama mtoto yeyote mchanga. Lakini nilipofikisha umri wa miaka tisa, nilianza kupata chunusi ndogo ndogo usoni. Kwa wakati huo, haikuwa jambo la kutisha, lakini kadri miaka ilivyokwenda, hali ilizidi kuwa mbaya.
Nilipofikia umri wa ujana, uso wangu ulikuwa umejaa makovu, michirizi na chunusi zilizokuwa zinapasuka kila siku. Ilikuwa kama laana....SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment