Wanawake Wawili Wamvamia Mwanaume Sokoni Wakigombea Mapenzi Mji Wazizima, Siri ya Adam Yaanikwa Hadharani!

 Katika hali ya kutatanisha, wanawake wawili katika mji wa Katoro waliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuzua tafrani kuhusu mwanaume mmoja aitwaye Adam ambaye imekuja kubainika ametumia dawa za mvoto wa mapenzi.

Tukio hilo ambalo limesababisha mji huo kugubikwa na minong’ono, lilijiri katikati ya eneo la soko hilo lenye shughuli nyingi na kuvuta umati mkubwa wa watu.

Adam ambaye ndiye muhusika mkuu wa mzozo huo ni mtu maarufu sana eneo hilo, watu wengi hasa kina dada wamekuwa wakieleza kuvutiwa naye kwa madai ni mtu mwenye ucheshi sana.

Mzozo ulianza pale Wanjiru na Wangui, wote wakidai kuwa na uhusiano na Adam hali iliyopelekea kugombana sokoni hapo.Yalianza kama majibizano makali na haraka kuwa makabiliano ya kimwili.

Tukio hilo liliibua hisia mseto kwa wakazi wa mji huo, huku wengine wakieleza wasiwasi wao kuhusu uchokozi....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post