Jina langu ni Suma kutokea Kagera, nilikuwa na mwanamke hadi tukazaa nae watoto wawili hapo katikati kukawa na mambo mengi yaliyotufanya hadi tukatengana.
Ila cha kusikitisha mimi niliamua kuoa kabisa mwanamke mwingine, watu wapenda chuki walimwendea na kumwambia wampe hadi nauli aje na watoto akaniharibie ili nisifunge ndoa.
Kilichotokea yule mwanamke akawaambia acha aoe tu mimi bado ni mke wake pia, hivyo akawa amewakata mdomo, akaendelea na maisha yake na mimi nikawa nimeendelea na yangu.
Baada ya kuoa nikawachukua watoto nikawa naishi nao tukaendelea tu kuwasiliana kwa sababu ya watoto...CONTINUE READING
Post a Comment