Jamaa mmoja aitwaye Juma huko Pwani alipigwa na bumbuwazi alipogundua kuwa mke wake alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchugaji mmoja wa kanisa la eneo hilo kwa muda mrefu bila hata ya yeye kujua chochote.
Juma alianza kushuku kuwa kulikuwa na tatizo wakati mke wake alianza kuchelewa kurudi nyumbani na kutotaka mazugumzo naye, huku akibadilisha mtindo wake wa kuvaa na alikuwa anajipodoa zaidi kila ambapo alikuwa anataka kutoka.
Aliamua kumuuliza kuhusu jambo hilo lakini alikanusha kila kitu na kusema ni wivu tu unaomsumbua na ni mwanaume asiyejiamini, baada ua kumbana sana mkewe alimwambia Juma kuwa yeye hana nguvu za kiume za kumridhisha kitandani.
Pia alisema yeye ni maskini asiyeweza kukidhi mahitaji yake, hivyo alikuwa akienda tu kanisani kusali na kutafuta mwongozo....SOMA ZAIDI
Post a Comment