Baada ya Kujifungua Mtoto wa Nne, Niligundua Sababu ya Kweli Kwa Nini Mume Wangu Alitaka Nizae Kila Mwaka—Sikuwahi Kudhani Kama Angeweza Kuficha Siri Kuu Hivi!

 Habari yako mdau wa Kiwanga Doctors?, jina langu ni Censia, ni mama wa watoto sita, niliolewa na mume wangu, Dida miaka nane iliyopita, tunaishi moja ya vijiji katika mkoa wa mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.


Safari yangu katika ndoa hajawahi kuwa rahisi hata kidogo, nimepitia changamoto nyingi, milima na mabonde, mapana na membamba, kusuka na kunyoa lakini nashukuru nilifanikwa kuyashinda hayo yote.

Katika uzao wangu, watoto wangu wamezaliwa kufuatana sana, naweza kusema ni wastani wa kila mwaka mmoja nilikuwa najaliwa kupata mtoto.

Hiyo ilifanya hadi Madaktari wa katahadharisha kuhusu mwenendo wa afya yangu kwa  sababu mwanamke akishajifungua anatakiwa kupumzika miaka miwili ndipo abebe ujauzito...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post