Baada ya Mtoto Wangu wa Tatu Kuzaliwa, Mume Wangu Alibadilika Ghafula—Nilichogundua Baadaye Kilinivunja Moyo!

 Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.

Jina langu ni Farida, mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.

Nilishindwa kuelewa nini tatizo, mwanzo nilihisi labda kuna mambo ya kazini yanamsumbua lakini nijakaja kugundua sio kweli mara baada ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio damu yake.

Ni suala ambalo liliniumiza sana kiasi...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post